ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,264
- 4,702
Kwakweli nimechanganyikiwa, wanajamvini nisaidieni Mimi masikini, nafanya ujenzi lakini nahitaji vitu Bora na vya kipekee lakini uwezo wangu mdogo.
Sasa kama ilivyo sisi watanzania na dunia nzima ya kwamba tukiona vitu bei ni ghali basi tunajua hivyo vitu ni OJII na vina ubora wa hali ya kipekee.
Nimetaka kununua marumaru , mabomba, masink na vyoo. Sasa nimeenda maduka ya kawaida vitu bei ni nzuri na vitu ni vizuri Kwa muonekano, lakini nimeenda Dar ceramica vitu ni bei juu sana na vya kipekee na hauvikuti maduka ya mtaani.
Yaani ukikuta choo dar ceramica bei ni mara tatu ya vyoo vya madukani, bomba bei ni mara 10 ya bei ya maduka ya mtaani. Marumaru bei mara tatu zaidi ya bei ya mtaani
Sasa nimechanganyikiwa nisaidieni je hivi vitu vinavyouzwa bei juu ni kwamba vina ubora wa kipekee au tu ni jina la brand kubwa, Ili Sasa kama nanunua ninunue mana Kwa muonekano wa nje ni sawa sijui ubora, naomba msaada