Kwanini hatusikii kelele tena za makontena? Kwanini hatusikii tena kwa mwezi mapato yaliyopatikana yanazidi kuongezeka? Au watu hawalipi tena kodi?
Jibu ni rahisi tu.
Kwa wale waliosoma account watakuwa wanajua kitu kinaitwa outstanding/arrears na pre paid.
Kilichokuwa kikifanyika mwanzoni serikali ya Magufuli ni kukusanya hela kwa watu waliokuwa wakidai na serikali, means arrears na baada ya hapo wote wamelipa, ndio maana sasa hivi hakuna tena Habari ya mapato kuongezeka.
Acha tusubiri tuone.