Kwanini hapa Afrika Mashariki, Tanzania Bara ndio CHAWA wa kisiasa wanapozalishwa sana na kukubalika hata kukumbatiwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,029
168,445
Labda nikutajie nchi zinazounda Jumuiya ya Africa Mashariki Ili upate Urahisi wa kufanya Utafiti

Rwanda, Uganda, Kenya, Tanzania Bara na Visiwani, Burundi, Sudan Kusini, DRC na Somalia

Halafu kwa mfano mchukue Lucas kama sample kisha mtupe Kwenye Nchi zote ikiwemo Tanzania Visiwani then angalia reaction ya Vijana wa Kila nchi katika kumaccomodate au hata kumpokea tu

Baadae mlale unono 😀😀
 
Kutokana na culture na siasa, wana siasa wanatafuta mashabiki (chawa), halaf wanakutana na jamii ambayo vijana wake wakipewa pesa kidogo wana ukana utu wao ( catalyst) , result = chawa

Wakati nchi zingine wanaweza shangaa sababu ya aina ya jamii waliyonayo
 
Nimekuelewa
 
Achana na hawa chawa wadogo mkuu....
Ebu tuzungumzie chawa, hawa watu wana nguvu za ajabu sana... zamani tuliwaita wapambe....😛
Yaani watawala hua wanawasikiliza na wanawaamini hadi ukiwa pembeni unashindwa kuelewa kwamba hivi huyu haoni anavyo danganywa...🤗
 
Sasa hao mabosi Waganga wa Kienyeji wanatafutiwa na hao hao CHAWA

Kama unabisha muulize Mshana Jr wa Kilingeni Msata 😀
 
Achana na hawa chawa wadogo mkuu....
Ebu tuzungumzie chawa, hawa watu wana nguvu za ajabu sana... zamani tuliwaita wapambe....
Yaani watawala hua wanawasikiliza na wanawaamini hadi ukiwa pembeni unashindwa kuelewa kwamba hivi huyu haoni anavyo danganywa...
Hao wapambe bado wapo wengi ni usalama ndo wanaongoza nchi hi, hana time ya kichambua wasaidizi wake au kutake wapinzani wake yupo tu anasubilia mda wake wakikatiba uishe.
 
Labda nikutajie nchi zinazounda Jumuiya ya Africa Mashariki Ili upate Urahisi wa kufanya Utafiti

Rwanda, Uganda, Kenya, Tanzania Bara na Visiwani, Burundi, Sudan Kusini, DRC na Somalia

Halafu kwa mfano mchukue Lucas kama sample kisha mtupe Kwenye Nchi zote ikiwemo Tanzania Visiwani then angalia reaction ya Vijana wa Kila nchi katika kumaccomodate au hata kumpokea tu

Baadae mlale unono 😀😀
He he he!! Fikiria Marais Ruto,Museveni au Kagame wanawaita Ikulu na kupiga picha na Dotto Magari na Mwijaku.🤣🤣🤣
 
Labda nikutajie nchi zinazounda Jumuiya ya Africa Mashariki Ili upate Urahisi wa kufanya Utafiti

Rwanda, Uganda, Kenya, Tanzania Bara na Visiwani, Burundi, Sudan Kusini, DRC na Somalia

Halafu kwa mfano mchukue Lucas kama sample kisha mtupe Kwenye Nchi zote ikiwemo Tanzania Visiwani then angalia reaction ya Vijana wa Kila nchi katika kumaccomodate au hata kumpokea tu

Baadae mlale unono 😀😀
Vijana wa Nchi zingine wanatanguliza taifa lao mbele na wala sio matumbo Yao na vyama vyao mbele, sasa huwez mlinganisha na mataifa mengine yenye uzalendo
 
Back
Top Bottom