Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,385
Good Afternoon Everyone.
Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router??
Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na Unlimited Access??
Je, kuna sababu yoyote ya kiufundi (Technical Justifications) au ni biashara tu?? Au hii huduma ipo sema ni ushamba wangu tu wa kuuza Maembe hapa Kijijini Morogoro ndio unaonisumbua??
Alafu kwanini iwe ni monthly unlimited?? Kwani hao service providers hawawezi kuweka weekly au daily unlimited?? Kwa maana hata majani ya chai yapo ya 600 pamoja na yale ya 50 kwa watu wa kipato cha chini. Kuna beer za watu wa hali ya juu (Heineken) pamoja na zile za watu wa kipato cha chini (Pilsner)
KARIBUNI KWA UFAFANUZI NDUGU ZANGU WA ICT NA TELECOMMUNICATIONS.
Ni mimi,
Muuza Maembe..