Tatizo wengi niliokutana nao wako hivyoWw ukimpelekea moto wa kutosha ataanza mdogo mdogo af baadae atachanganya kama pangAboy...... Ila mm nahis wadada wakiwa sehem za hadhara hujitahid kwa kila namna ili waonekane mafundi lakin ukiwa nae ww huona hakuna madhara kwa sabab kinachofanyika hapo ni siri yenu wawili..... Nashangaa ww umekuja toa siri huku jf
Huwa wanakukandamiza?!hivi mmewahi kujiuliza endapo ungekua wewe umekandamizwa hilo lidubwana ungeweza?
anyway; kiuno cha jukwaani na room ni tofauti
room kunataka ujuzi ,sharti uwe nao!!!!
Si nmegharamiawe unataka akate kiuno kwani mko show mango garden ....