Kwanini gharama za ujenzi wa reli ya SGR Kigoma - Tabora 506km zimeongezeka baada ya Rais Samia kuruhusu tenda ya mfumo wa chanzo kimoja

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
74
1,387
KWANINI GHARAMA ZA UJENZI WA RELI YA SGR KIGOMA - TABORA 506km ZIMEONGEZEKA BAADA YA RAIS SAMIA KURUHUSU TENDA YA MFUMO WA CHANZO KIMOJA ( Single source) BADALA YA USHINDANI open tender?

JE NI KWELI KWAMBA MAFISADI WA AWAMU YA 6 WAMETUPIGA ZAIDI YA TRILLION 1.5 BAADA YA KUONGEZA BILION 3 KWA KILA KILOMITA?

Bado najiuliza kama Rais Samia ana mkono wake katika fununu hizi za ufisadi wa zaidi ya trillion 1.5 katika ujezi wa reli ya kisasa SGR kipande cha Kigoma mpaka Tabora pamoja na vipande vingine ambavyo tenda zimetolewa katika utawala wake.

Tangu ujenzi wa reli ya kisasa SGR uanze 2017 mpaka sasa 2023 tumeshuhudia utiaji saini katika vipande 6 vya reli hii yenye jumla ya kilomita 2,106. Katika vipande hivyo 6 hayati Magufuli alisaini vipande vitatu na baada ya kifo chake Rais Samia akasaini vipande vingine vitatu. Katika vipande vitatu vya hayati Magufuli, vipande viwili tenda ilipatikana kwa mfumo wa ushindani yani (Open Tender) na kipande kimoja tenda ilipatikana kwa mfumo wa majadiliano yanii (Negotion).

Wakati vipande vitatu vya Rais Samia tenda zote zimepatikana kwa mfumo usiokuwa wa ushindani yani (Single source). Matokeo yake ni kwamba gharama za ujenzi wa reli katika utawala wa Samia zimekuwa kubwa zaidi kuliko kipindi hayati Magufuli.

Pengine ni kweli kwamba kutumia mfumo usiokuwa wa ushindani yaani Single source ni kuficha uwazi katika mradi husika na kuruhusu mianya ya ufisadi ndani yake. Na mimi nahisi kwamba huenda matrillion ya fedha yanaweza kuwa yameibiwa katika vipande hivi ambavyo Rais Samia ameruhusu mfumo wa tenda usiokuwa na ushindani yaani Single source. Maana hata wakati wa hayati Magufuli kipande cha Morogoro mpaka Makutupora Dodoma ambacho tenda yake haikuwa katika mfumo wa ushindani gharama ziliongezeka kidogo kwa kila kilomita ukilinganisha na kipande cha Dar mpaka Morogoro. Pengine hii ndio ilimfanya hayati Magufuli kurudi kwenye mfumo wa open tender wakati wa kuanza ujenzi wa kipande cha Isaka Tabora mpaka Mwanza ambacho gharama zilishuka tena.

Sasa tukirudi kwenye ujenzi wa kipande cha Kigoma mpaka Tabora gharama zake zimekuwa kubwa zaidi wakati vitu vimepungua ukilinganisha na kipande cha Isaka - Mwanza.

Mfano ujenzi wa kipande cha Isaka Tabora mpaka Mwanza 341km gharama zake ni trillion 3.12. Sawa ni bilion 9.5 kwa kila kilomita. Wakati kipande cha Kigoma mpaka Tabora 506 km gharama zake ni trillion 6.34 wastani wa bilion 12.53 kwa kila kilomita moja. Yaani Ongezeko la bilion 3 kwa kila kilomita.

Kipande kipande cha Isaka - Mwanza kina jumla ya vituo vya abiria 10 ambavyo vina ukubwa wa square mita za mraba 38,900 wakati kipande cha Kigoma - Tabora nacho kikiwa na vituo 10 vya abiria ambavyo vina ukubwa wa sguare mita za mraba 23,500.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina vituo vitano vya mizigo wakati kipande cha Kigoma - Tabora kina vituo vinne vya mizigo.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina Motor Trolley for Inspection Seven (7), 3-inspection and Gauge and four (4) 2-heavy 4-heavy duty for Meter duty 2-inspection for the Standard Gauge) jumla 11 wakati kipande cha Kigoma - Tabora hakina hata moja.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina ofisi kuu za utawala na usimamizi zenye ukubwa wa square mita za mraba 1300 wakati kipande cha Kigoma - Mwanza kina ofisi kuu za utawala na usimamizi zenye ukubwa wa square mita za mraba 100.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina yard au workshop ya kutenenezea engine za vichwa vya treni ambayo ukumbwa wake ni square mita za mraba 6,900 wakati kipande cha Kigoma - Tabora square mita za mraba 4,800.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina yard au workshop ya kutengenezea treni za EMU yani vile vichwa vya treni mchongoko, ukubwa wa yard hiyo ukiwa ni square mita za mraba 6,500 wakati kipande cha Kigoma - Tabora ni square mita za 3,600.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina yard au workshop ya kutengenezea mabehewa ya abiria na mizigo yenye ukubwa wa square mita za mraba 5,000/ wakati kipande cha Kigoma - Tabora kina yard au workshop yenye ukubwa wa square mita za mraba 2400.

Ajabu ni kwamba kipande cha Kigoma - Tabora chenye vitu vichache gaharama yake ni kubwa wastani wa bilion 3 kila kilomita kukizidi kipande cha Isaka - Mwanza ambacho kina vitu vingi.

Hebu hapa chini tuangazie vipande vyote 6 na gharama zake.

1. Kipande cha Dar - Moro tenda ilitolewa 2017. Urefu ni 300 km gharama zake ni trillion 2.7 sawa na bilion 9 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa ni ya ushindani yani open tender. Rais alikuwa Hayati Magufuli.

2. Kipande cha Moro - Makutupora Dodoma tenda ilitolewa 2018. Urefu ni 426 km gharama zake ni trillion 4.4 sawa na bilion 10.33 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa majadiliano yani Negotion. Rais alikuwa Hayati Magufuli.

3. Kipande cha Isaka - Mwanza tenda ilitolewa 2020. Urefu ni 341 km gharama zake ni trillion 3.12 sawa na bilion 9.15 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa ni ya ushindani yani open tender. Rais alikuwa Hayati Magufuli.

4. Kipande cha Makutupora - Tabora tenda ilitolewa 2022. Urefu ni 368 km gharama zake ni trillion 4.406 sawa na bilion 11.97 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa sio ya ushindani yani Single source. Rais alikuwa rafiki yangu Samia.

5. Kipande cha Tabora - Isaka tenda ilitolewa 2022. Urefu ni 165 km gharama zake ni trillion 2.094 sawa na bilion 12.69 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa sio ya ushindani yani Single source. Rais alikuwa rafiki yangu Samia.

6. Kipande cha kigoma - Tabora tenda ilitolewa 2022. Urefu ni 506 km gharama zake ni trillion 6.34 sawa na bilion 12.53 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa sio ya ushindani yani Single source. Rais alikuwa rafiki yangu Samia.

Hapo ndio najiuliza kwanini wakati wa rafiki yangu Samia gharama za ujenzi wa reli ya kisasa SGR imekuwa juu kuliko kipindi cha hayati Magufuli?

Swali lingine kwanini mfumo wa utoaji wa tenda anaupendelea kuutumia rafiki yangu Samia wa Single source gharama zake ziko juu kuliko mfumo wa ushindani open tender?

Majibu yanaweza kupatikana endapo ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali CAG. Mazingira kama haya ndio namkumbuka professional Assad CAG anayeingia kila chaka la serikali na kufyeka.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Tanzania-Standard-Gauge-Railway-SGR.png
 
Mdude unaulizwa kwanini wkt jibu unalo la kwamba mfumo wa chanzo kimoja/Monopoly ndiyo umefanya gharama kuongeza lakini zaidi.

Ni kiashiria kuwa upigaji unahusika japo sijajua labda kutakuwa sehemu hizo zitakuwa na changamoto nyingi pia hata gharama za vifaa na malighafi zimepanda.
 
View attachment 2567695
Sumu ya Nyigu aliyebadilisha Kosa la Uhaini kuwa na Dhamana.
 
Mdude unaulizwa kwanini wkt jibu unalo la kwamba mfumo wa chanzo kimoja/Monopoly ndiyo umefanya gharama kuongeza lakini zaidi.

Ni kiashiria kuwa upigaji unahusika japo sijajua labda kutakuwa sehemu hizo zitakuwa na changamoto nyingi pia hata gharama za vifaa na malighafi zimepanda.
Hahah
 
Hilo sio rahisi kulihudge pasipo kujua details, Kuna issue nyingi zinaweza kuchangia mf. Topography exchange rate na pia distance ya kusafirisha materials,kama huna details kuwa mpole.
 
Moja ya vijana wenyr akili kubwa ambao Taifa leti limepata ni huyu Kihenzile. Binafas tangu ameingia nimeanza hata kuipenda hii wiraza. Anajitahid sana kutueleleza kwa kina kinachoendeleq kwenye sekta yake. Miaka yote nilkuwa napata mashaka na hizi hoja za CAG juu ya tofuatu za bei. Nashukuru nimeongeze elimu na maarifa. Ni mantiki ndoginkabisankwamba ukijenga nyumba kwenye Swamp bonde la Mpunga kule msasani na au kwenye mwamba kule goba gharama haziwezi kuwa sawa na Sinza kwa sabab kuvunja mwamba ni gharama zaidi
 
Hilo sio rahisi kulihudge pasipo kujua details, Kuna issue nyingi zinaweza kuchangia mf. Topography exchange rate na pia distance ya kusafirisha materials,kama huna details kuwa mpole.
Upo sahihi sana Mimi Nilimuelewa sana Mh Naibu waziri sijawahi Muona Naibu waziri smart Kama Uyu kijana
 
KWANINI GHARAMA ZA UJENZI WA RELI YA SGR KIGOMA - TABORA 506km ZIMEONGEZEKA BAADA YA RAIS SAMIA KURUHUSU TENDA YA MFUMO WA CHANZO KIMOJA ( Single source) BADALA YA USHINDANI open tender?

JE NI KWELI KWAMBA MAFISADI WA AWAMU YA 6 WAMETUPIGA ZAIDI YA TRILLION 1.5 BAADA YA KUONGEZA BILION 3 KWA KILA KILOMITA?

Bado najiuliza kama Rais Samia ana mkono wake katika fununu hizi za ufisadi wa zaidi ya trillion 1.5 katika ujezi wa reli ya kisasa SGR kipande cha Kigoma mpaka Tabora pamoja na vipande vingine ambavyo tenda zimetolewa katika utawala wake.

Tangu ujenzi wa reli ya kisasa SGR uanze 2017 mpaka sasa 2023 tumeshuhudia utiaji saini katika vipande 6 vya reli hii yenye jumla ya kilomita 2,106. Katika vipande hivyo 6 hayati Magufuli alisaini vipande vitatu na baada ya kifo chake Rais Samia akasaini vipande vingine vitatu. Katika vipande vitatu vya hayati Magufuli, vipande viwili tenda ilipatikana kwa mfumo wa ushindani yani (Open Tender) na kipande kimoja tenda ilipatikana kwa mfumo wa majadiliano yanii (Negotion).

Wakati vipande vitatu vya Rais Samia tenda zote zimepatikana kwa mfumo usiokuwa wa ushindani yani (Single source). Matokeo yake ni kwamba gharama za ujenzi wa reli katika utawala wa Samia zimekuwa kubwa zaidi kuliko kipindi hayati Magufuli.

Pengine ni kweli kwamba kutumia mfumo usiokuwa wa ushindani yaani Single source ni kuficha uwazi katika mradi husika na kuruhusu mianya ya ufisadi ndani yake. Na mimi nahisi kwamba huenda matrillion ya fedha yanaweza kuwa yameibiwa katika vipande hivi ambavyo Rais Samia ameruhusu mfumo wa tenda usiokuwa na ushindani yaani Single source. Maana hata wakati wa hayati Magufuli kipande cha Morogoro mpaka Makutupora Dodoma ambacho tenda yake haikuwa katika mfumo wa ushindani gharama ziliongezeka kidogo kwa kila kilomita ukilinganisha na kipande cha Dar mpaka Morogoro. Pengine hii ndio ilimfanya hayati Magufuli kurudi kwenye mfumo wa open tender wakati wa kuanza ujenzi wa kipande cha Isaka Tabora mpaka Mwanza ambacho gharama zilishuka tena.

Sasa tukirudi kwenye ujenzi wa kipande cha Kigoma mpaka Tabora gharama zake zimekuwa kubwa zaidi wakati vitu vimepungua ukilinganisha na kipande cha Isaka - Mwanza.

Mfano ujenzi wa kipande cha Isaka Tabora mpaka Mwanza 341km gharama zake ni trillion 3.12. Sawa ni bilion 9.5 kwa kila kilomita. Wakati kipande cha Kigoma mpaka Tabora 506 km gharama zake ni trillion 6.34 wastani wa bilion 12.53 kwa kila kilomita moja. Yaani Ongezeko la bilion 3 kwa kila kilomita.

Kipande kipande cha Isaka - Mwanza kina jumla ya vituo vya abiria 10 ambavyo vina ukubwa wa square mita za mraba 38,900 wakati kipande cha Kigoma - Tabora nacho kikiwa na vituo 10 vya abiria ambavyo vina ukubwa wa sguare mita za mraba 23,500.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina vituo vitano vya mizigo wakati kipande cha Kigoma - Tabora kina vituo vinne vya mizigo.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina Motor Trolley for Inspection Seven (7), 3-inspection and Gauge and four (4) 2-heavy 4-heavy duty for Meter duty 2-inspection for the Standard Gauge) jumla 11 wakati kipande cha Kigoma - Tabora hakina hata moja.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina ofisi kuu za utawala na usimamizi zenye ukubwa wa square mita za mraba 1300 wakati kipande cha Kigoma - Mwanza kina ofisi kuu za utawala na usimamizi zenye ukubwa wa square mita za mraba 100.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina yard au workshop ya kutenenezea engine za vichwa vya treni ambayo ukumbwa wake ni square mita za mraba 6,900 wakati kipande cha Kigoma - Tabora square mita za mraba 4,800.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina yard au workshop ya kutengenezea treni za EMU yani vile vichwa vya treni mchongoko, ukubwa wa yard hiyo ukiwa ni square mita za mraba 6,500 wakati kipande cha Kigoma - Tabora ni square mita za 3,600.

Kipande cha Isaka - Mwanza kina yard au workshop ya kutengenezea mabehewa ya abiria na mizigo yenye ukubwa wa square mita za mraba 5,000/ wakati kipande cha Kigoma - Tabora kina yard au workshop yenye ukubwa wa square mita za mraba 2400.

Ajabu ni kwamba kipande cha Kigoma - Tabora chenye vitu vichache gaharama yake ni kubwa wastani wa bilion 3 kila kilomita kukizidi kipande cha Isaka - Mwanza ambacho kina vitu vingi.

Hebu hapa chini tuangazie vipande vyote 6 na gharama zake.

1. Kipande cha Dar - Moro tenda ilitolewa 2017. Urefu ni 300 km gharama zake ni trillion 2.7 sawa na bilion 9 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa ni ya ushindani yani open tender. Rais alikuwa Hayati Magufuli.

2. Kipande cha Moro - Makutupora Dodoma tenda ilitolewa 2018. Urefu ni 426 km gharama zake ni trillion 4.4 sawa na bilion 10.33 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa majadiliano yani Negotion. Rais alikuwa Hayati Magufuli.

3. Kipande cha Isaka - Mwanza tenda ilitolewa 2020. Urefu ni 341 km gharama zake ni trillion 3.12 sawa na bilion 9.15 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa ni ya ushindani yani open tender. Rais alikuwa Hayati Magufuli.

4. Kipande cha Makutupora - Tabora tenda ilitolewa 2022. Urefu ni 368 km gharama zake ni trillion 4.406 sawa na bilion 11.97 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa sio ya ushindani yani Single source. Rais alikuwa rafiki yangu Samia.

5. Kipande cha Tabora - Isaka tenda ilitolewa 2022. Urefu ni 165 km gharama zake ni trillion 2.094 sawa na bilion 12.69 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa sio ya ushindani yani Single source. Rais alikuwa rafiki yangu Samia.

6. Kipande cha kigoma - Tabora tenda ilitolewa 2022. Urefu ni 506 km gharama zake ni trillion 6.34 sawa na bilion 12.53 kwa kila kilomita na tenda ya ujenzi huo ilikuwa sio ya ushindani yani Single source. Rais alikuwa rafiki yangu Samia.

Hapo ndio najiuliza kwanini wakati wa rafiki yangu Samia gharama za ujenzi wa reli ya kisasa SGR imekuwa juu kuliko kipindi cha hayati Magufuli?

Swali lingine kwanini mfumo wa utoaji wa tenda anaupendelea kuutumia rafiki yangu Samia wa Single source gharama zake ziko juu kuliko mfumo wa ushindani open tender?

Majibu yanaweza kupatikana endapo ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali CAG. Mazingira kama haya ndio namkumbuka professional Assad CAG anayeingia kila chaka la serikali na kufyeka.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

View attachment 2567695
Kipanda cha morogoro makutupura gharam zilikuwa juu na sababu inahulikana kuwa ni kwa kuwa kuna gharama za kuchimba mahandaki
 
Yatasemwa mengi
 
Sina imani na maandiko yako hivyo sijayasoma maana wewe ni mbwabwajaji

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom