Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,777
5,920
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.

Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4.

Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa hata million 1 kwa mwezi kwa sababu ya movement ya watu iliyopo, watu wa sinza mnawezaje kulipa Kodi kubwa hivyo?

N.B kwahiyo basi tu conclude hapa kwamba mtu yoyote mwenye frame sinza sio wa mchezo mchezo?

Nikimaanisha pesa ipo kweli kweli?

Screenshot_20230728-194817~2.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom