OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,737
- 113,453
Moja kwa moja kwenye hoja
Mchakato wa kumleta DP World amezingatia sheria gani?
Kwa Sheria ya Manunuzi imeweka takwa la mchakato wa manunuzi kuwa na ushindani wa wazi. Vipo vipengere vinavyoruhusu kufanya bila ushindani lakini lazima kuwe na sababu za msingi kama dharura na sababu za kiusalama.
Mchakato wa manunuzi unataka zabuni itangazwe, wawekezaji waombe na tathmini zifanyike kuona mzabuni mahiri.
Tunaomba kujua mchakato wa manunuzi ulifanyika lini. Lini walitangaza, kina nani waliomba? Kina nani serikali walifanya evaluation?
Kwa nini taasisi yenye fursa haikuandaa mkataba ambapo DP World ingepitia na kuukubali? Badala yake DP World ndio imeandaa mkataba?
Kama mchakato haukuzingatia matakwa ya sheria kwa nini tusiamini mmemleta tu kwa sababu ya interest zenu?
Hata kama mmeshasaini andaeni majibu ya maswali haya, mtuyatumia siku mambo yakiharibika.