Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 22,036
- 40,642
Katika hali ya kushangaza kumetoka aidha mgomo au chama kimekosa Mvuto kabisa.
Wengine wanadai aaah wapi sio kukosa mvuto bali chama hakitoi maokoto kama zamani hivyo watu wanaovutwa na mafumba wamekikacha.
Enzi za huko nyuma tulishuhudia social media zilizobamba kwenye anga la Tanzania.
Walizuka watu binafsi waliofadhiliwa na kujifadhili kukitetea chama (Die Hard Platforms) kwa mbivu na mbichi.
Media za Twitter, Youtube na Facebook kama zote.
Awamu hii naona Kuna Ukame mitandaoni.
Je, shida ni nini?