Kwanini CCM madhaifu yao huwa wanawabambikiza CDM?

Ngurubhe

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,840
1,049

Bnsr!.
Nimekuwa mara nyingi napita mitandaoni,na hata kwenye maongezi ya viongozi wa kubwa kuwageuzia makosa wapinzani.

Kwa mfano,kuna weza kuwepo tukio kubwa linalohitaji viongozi hawa kukutana lakini mpinzani hapewi taarifa yoyote na baadae utashangaa anasemwa kuwa hakuhudhuria.

Lakini wote mtakuwa mashahidi CCM iliwahi kuwa na Greengaurd(hadi watoto chini ya miaka18) na hata wakawapa mafunzoya kijeshi na kuwafunza kutumia siraha za moto likini baadae lawama zilienda kwa redguard ambao hata bundiki walikuwa hawajawahi kuziona.

YAPO MENGIY kutolea mifano lakini niishie hapa.
Kwanini CCM HUWAGEUZIA WENZAO SHUTUMA?
 
Kwa mfano.....Aliyemuita lowassa fisadi kwa mara ya kwanza ni CCM au CDM?
 
Ccm huwezi kuwaamini. Mabaya yao wanasingizia Chadema na wala si cham kingine chocote. Kwa ni ni CHADEMA? Mti wenye matunda ndio upigwao mawe!.

NI sawa na Kenya wanaposema Mungiki ni wa Tanzania lakini mlima Kilimanjaro na Mbwana Samatta ni wa kenya.

Ccm wanatatizo la kuiba kila sera pendwa kutoka CHaDEMA. Lakini hawana ujasiri wa kuomba wafundishwe the how part of it, wanaishia kuvurunda.

MFC wakaigeuzia kwao. Matokeo yake, hakuna mabadiliko yoyote ya maan awanafanya zaidi ya sarakasi. Kumbe walitakiwa waseme NSS. Chagua ccm for new sarakasi styles!.

WAmeiba agenda ya ufisadi, tena wanafanya kwa uwongo uliowazi eti mafisadi wako chadema. SAsa wamefungua hadi mahakama lakini hakuna hata fisadi kafikishwa kule. WAnaweka mpira kwapani eti hakuna mafisadi. WAkati huo huo CAG anafichua ufisadi wa kutisha!. CCm hawa ni watu wa kuaamini?

WAkaiba agenda ya katiba mpya, wakitaka wakamlishe haraka haraka kwa kuifanya iwalinde na ufisadi wao vile wanataka. Matokeo yake mmeyaona. Eti tumalizie tu na matatizo yake kwa kuw tumeshaanza kutumia fedha. Kama siyo ubashite ni nini?

WAmaua watu halafu wanasingizia CHaDEMA!. Hawa si binadamu.

Ninavyoendelea kuandika hasira zinazidi kupanda natamani niwaezeke vibao mmoja mmoja kwa kudharau Watanzania, kuharibu nchi na kuishia kutukebehi.

CCM SIYO WATU! VINYAMANA!
 
Siwatetei ccm ila hiyo ya watoto siyo ya bongo acha uchochezi!!

Huna adabu!
Unaikataa kwa sababu wamebeba vya moto,hio ndio iliyopelekea serkali ishtuke na kuzuia ....wewe mm Naamink jamaa ndio hana adabu lkn ana full heshima
 
Kwa mfano.....Aliyemuita lowassa fisadi kwa mara ya kwanza ni CCM au CDM?
Ccm akakataa chadema akakubali yaishe, ccm akaja tena kusema jamaa ni fisadi ye ndo kashika bango hadi leo cha ajabu wanakila kitu lakini wanamwacha fisadi azurure mtaani kweli wanaweza uongozi?
 
Lazima waitafutie Chadema Jina lolote baya kwani ccm bado kipo shimoni wanatafuta pa kutokea lakini Makamanda wamewakaba ipasavyo
 
Unaikataa kwa sababu wamebeba vya moto,hio ndio iliyopelekea serkali ishtuke na kuzuia ....wewe mm Naamink jamaa ndio hana adabu lkn ana full heshima
NAONA UNATUMIKI ADHABU YA KUWA" BANNED" ndio jamii folum ilivyo,pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…