Napenda kuwapa pole kwa wote ambao wenda mchana huu unawapita Deshi bila kula... ila kikubwa ni kutaka mawazo yenu kuhusu huyu muke wangu ni mwaka wa 3 sasa biashara ya nje yaani Kenya na Msumbiji( Nguo za kike kama Vitenge na Misuli ) bati sioni tofauti ya kimaisha na kiuchumi. Sasa nikimwambia abadili biashara hataki sasa je mimi sioni faida yake yeye anaiona wakati mimi sioni vp mnanishauri nini ili mke wangu anisikilize na aache hii biashara? Au kuna vijeba vinampetipeti huko uzunguni?