Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,239
- 7,447
Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni sana hapa nazumgumzia kota za maaskari wa vyeo vya chini.
Kuna ambao tunakaa nao huku mtaani yaani wanatupiga sana vizinga hasa tarehe kama hizi.
Kwanini maisha yao yapo duni sio kama majeshi mengine?