Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi.
Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi kusemwa lkn viongozi wa Simba sio wajinga kumtema Benchika, ana maneno ya karaha sana na hata wachezaji wamevunjila ari ndio maana uongozi umeona mwache aende.
Lakini hivi Juma Mgunda ambaye anafundisha timu yetu ya wanawake ana shida gani?
Hiv kweli jaman Mgunda ambaye ametoka AFCON na Stars mnamuacha aendelee kufundisha timu ya wanawake mnaenda kumchukua kocha wa KMC kweli, kwamba ana mbinu kuliko Mgunda?
Haya bana, kila la heri