Mkonga100 JF-Expert Member Mar 21, 2017 660 494 Apr 15, 2017 #1 Habari za maandalizi ya pasaka wapendwa. Turudi kwenye mada kuna uzi nimesoma hapa unasema yule muafrika kwenye mkanda wa yesu alitokea wapi.? Sasa nihitaji kujua Uafrika nini? Kuwa mweusi au kuzaliwa Africa?
Habari za maandalizi ya pasaka wapendwa. Turudi kwenye mada kuna uzi nimesoma hapa unasema yule muafrika kwenye mkanda wa yesu alitokea wapi.? Sasa nihitaji kujua Uafrika nini? Kuwa mweusi au kuzaliwa Africa?
emmanuel mhecha JF-Expert Member Jun 21, 2015 933 543 Apr 15, 2017 #2 Hata kama ni Mmarekani kwa asili yake ni Afrika nadhani utaelewa ndugu
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Apr 15, 2017 #3 Ni sawa na kuuliza mtanzania ni nani? Mwaafrica ni mtu mwenye asili ya africa. Africa ni wapi? Ni nchi zote zilizopo kwenye bara la africa. Je kama mama yake ni Mwaafrica na baba mzungu? Hapo pia kwangu atakuwa Mwaafrica mwenye asili mbili.
Ni sawa na kuuliza mtanzania ni nani? Mwaafrica ni mtu mwenye asili ya africa. Africa ni wapi? Ni nchi zote zilizopo kwenye bara la africa. Je kama mama yake ni Mwaafrica na baba mzungu? Hapo pia kwangu atakuwa Mwaafrica mwenye asili mbili.