Kabisaa mkuuuNchi hii tabu sana ana kiburi kwa sababu akikamatwa anawapa polisi elfu kumkumi tu wanamwachia
Kabisa mwanetu anaharibu biashara za watu huyuUkiona ishu ya madawa ujue kuna mapapa wakubwa hao ndio wameshikilia kila kitu , hawa wengine vidagaa tu.
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah
Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji
Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee
Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni
Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk
Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa
N kama vile wanaserikali yaoo ama lah
Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua
Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka
Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia
Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc
Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu
Mungu ibariki tanzania
Anaona kipindi hiki watu wanatembea na maburungutu ya pesa na kununua magari makali , anafikiri wanauza dagaa na duka la mangi mjini😁😁Kabisa mwanetu anaharibu biashara za watu huyu
Hahahaha umenikumbushaaa Jana nilikuwa Juliana pub jamaa anauliza hivi wale wauza chupi krkoo wanapata helà wapi kulipa kodi hahahaAnaona kipindi hiki watu wanatembea na maburungutu ya pesa na kununua magari makali , anafikiri wanauza dagaa na duka la mangi mjini😁😁
Hivi mzee. Bado hujajuaga kuandika tu aisee unatufanya tuone habari zako ni chaiHahahaha umenikumbushaaa Jana nilikuwa Juliana pub jamaa anauliza hivi wale wauza chupi krkoo wanapata helà wapi kulipa kodi hahaha
NKAONA anasogea mtu karibu nkaenda choon nkaonaa ooh nn tenaa
Anazingua sana aisee😀😀😀Anaona kipindi hiki watu wanatembea na maburungutu ya pesa na kununua magari makali , anafikiri wanauza dagaa na duka la mangi mjini😁😁
Wewe jiulize kwa nini kipindi hiki huko kenya ,na sio cha 2015 -2021 kuna wimbi la matajiri wenye biashara za kawaida ila vitu vya dhamani kuliko mtaji???Hahahaha umenikumbushaaa Jana nilikuwa Juliana pub jamaa anauliza hivi wale wauza chupi krkoo wanapata helà wapi kulipa kodi hahaha
NKAONA anasogea mtu karibu nkaenda choon nkaonaa ooh nn tenaa