Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,915
- 31,019
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah
Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji
Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee
Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni
Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk
Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa
N kama vile wanaserikali yaoo ama lah
Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua
Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka
Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia
Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc
Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu
Mungu ibariki tanzania