Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 22,850
- 55,041
Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini tena kwa kasi kubwa na hadharani kabisa na umekaa kimya sio sawa!
Nchi yangu alafu niishi kuhofia uhai wangu kisa maoni yangu au siasa!?!
Shame on you for this!
Leading people on fear always backfires!
😏😡😡 Credit by T
Soma Pia: Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi