Kwako Ijumaa Kuu ina maana gani?

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
Kuna tafsiri nyingi kuhusu ijumaa kuu. Je kwako unaitafsirije hii siku?
 
Ni imani ya mtu...... Ni vigumu kwa asiye wa imani Fulani kuielewa ijumaa kuu........ Kwa hiyo mleta mada utakutana na majibu mengi sana...... Kikubwa unachopaswa kujua ni IMANI hiyo.
 
Ni imani ya mtu...... Ni vigumu kwa asiye wa imani Fulani kuielewa ijumaa kuu........ Kwa hiyo mleta mada utakutana na majibu mengi sana...... Kikubwa unachopaswa kujua ni IMANI hiyo.
NI KWELI NA MIE NAYAONA!
 
Kila mtu ana Imani yake katika dini yake
Maamuzi na tafsiri ya nini juu ya nini inapaswa kujadiliwa na watu wenye imani sawa vinginevyo itakuwani kuchanganya maji na mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…