kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Yeye kama nan??;hana unspecial wwteHabari yako Dada mkubwa?
Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, hasa majukumu yako mazito ya kutupa burudani Watanzania tunao kadiliwa milion 55.
Dada wewe ni dada mkubwa sana hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, tafadhali tupe neno mioyo yetu ipone maana hali nini tete na ukizingatia wewe ni mwana Dar es salaam original.
Pili naleta ombi langu kwako tafadhali sana, fanya ukomavu wa kiutu uzima nenda kawape pole Clouds maana hii vita ni kubwa sana.
Tusahau yaliopita tuje kwa upamoja kwa faida ya Watanzania.
Mwisho kabisa nawapenda sana Watanzania wenzangu hasa wa jamii forum maana ni zaidi ya ndugu.
Koma mbwa wewe, lady jaydee mama ako? Una hadhi ya kuzaliwa na jide? Angekua mama ako c ungelinga, mama ako yuko sitimbi huko analima mihogo, mkome jideKwanza umekosa adabu kumwita mtu mzima dada. Huko kwenu hakuna wakinamama wenye umri wa Jay Dee?
Koma mbwa wewe, lady jaydee mama ako? Una hadhi ya kuzaliwa na jide? Angekua mama ako c ungelinga, mama ako yuko sitimbi huko analima mihogo, mkome jide
Koma mbwa wewe, lady jaydee mama ako? Una hadhi ya kuzaliwa na jide? Angekua mama ako c ungelinga, mama ako yuko sitimbi huko analima mihogo, mkome jide
Hahahaha safiii umelikomesha jibwa hilo
We punga na huyu mwenzio, sijui na yeye punga kama wewe, mnajuana wenyewe. Naomba muachane na mimi msinitafutie ban, weekend hii nataka kuperuzi JF.
haaaaa nisingekuona kwenye hii thread binamu. ningeomba kurudi KoromijeKoma mbwa wewe, lady jaydee mama ako? Una hadhi ya kuzaliwa na jide? Angekua mama ako c ungelinga, mama ako yuko sitimbi huko analima mihogo, mkome jide
Kwa kupenda ubuyu au?haaaaa nisingekuona kwenye hii thread binamu. ningeomba kurudi Koromije
Huwezi kuperuzi jf bila kumkashfu Jide au we Gardner ? Mwanaume mzima una wivu na mwanamke ,kama unamwonea wivu jide kwa mnaigeria basi kachukue nafasi yake
Post za mashoga wa Dar utazijua tu.
swali zuriKwanini hakwenda bukoba kuwapa pole wahanga wa tetemeko?
Huyo dada ana roho mbaya kama mpika sumuHabari yako Dada mkubwa?
Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, hasa majukumu yako mazito ya kutupa burudani Watanzania tunao kadiliwa milion 55.
Dada wewe ni dada mkubwa sana hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, tafadhali tupe neno mioyo yetu ipone maana hali nini tete na ukizingatia wewe ni mwana Dar es salaam original.
Pili naleta ombi langu kwako tafadhali sana, fanya ukomavu wa kiutu uzima nenda kawape pole Clouds maana hii vita ni kubwa sana.
Tusahau yaliopita tuje kwa upamoja kwa faida ya Watanzania.
Mwisho kabisa nawapenda sana Watanzania wenzangu hasa wa Jamiiforum maana ni zaidi ya ndugu.