Wakuu,
Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia.
Sasa kama hilo umeliita uhalifu, hauoni kama wewe Mchengerwa OR TAMISEMI na viongozi wako ndio wahalifu wakwanza mnatakiwa kuwa jela sasa hivi?
Maana nyinyi ndio hamtimizi wajibu wenu, MNAACHA KILA SIKU TUNAPITA KWENYE 'MATOPE', hivyo tuanze kuhakikisha kuwa nyinyi wote mpo jela, si ndio maana yake?
Video ya tukio ipo hapa: Kuelekea 2025 - Arusha: Wananchi kata ya Murieti wampitisha Diwani kwenye dimbwi la maji kushuhudia changamoto wanazopitia
Tunawaacha mnatembea bure wakati mlibidi muwe mnashea ndoo ya 'uani' huko selo. Nyinyi ndio mnajichukulia sheria mkononi na kudhulumu nafsi zetu kila mara tunapopokea huduma mbovu, na wala hamjali mkipigiwa kelele.
Sasa tuanze kuwakamata na kuwapeleka mnakostahili kuchukuliwa hatua za kisheria!
Kibao kikigeuka kinakuwa kichungu eeeeh? Wananchi wana akili, endeleeni kutufanya manyani taratibu mwananchi anaanza kureclaim nafasi yake.