Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,023
119,542
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.

Haya kawaambieni upesi hao Al Hilal FC ya Sudan kuwa Simba SC haiishii tu Kujulikana CAF bali hata kule FIFA kwa Infantino inajulikana na inapendwa mno hivyo wabane wawezavyo na wafanye Fitna zote ila Fabrice Ngoma is RED with Simba Sports Club.

Kudadadeki.
 
UMUGHAKA njoo think tank la musoma ,Mara amaeanzisha Uzi wa hovyo
Ratiba yako ya Kupokea Mimba yake leo ni Saa ngapi? Inaonekana katika Watiaji Mimba zako Wote huyu Unamkubali mno na akiishindilia anaishindilia hasa myuuuuuuuuuuuuuuu.......na Mimba Nge.... Kudadadeki...!!
 
Nani umewai kumtia mimba wee nguruwe una jeuri gani kusababisha mwanmke mimba ,lzm umsababishie Nani wako
 
Mam angu katoka wapi wee mweu unajifanya unajuwa kutukani Sana watot waliolelewa na kuzaliwa nje ya ndo utawajuwa tu kwa vinywa vyao
Mama yako ameshakupa Jibu la Swali lako kuwa naweza Kumpa Mwanamke Mimba au siwezi?
 
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.

Haya kawaambieni upesi hao Al Hilal FC ya Sudan kuwa Simba SC haiishii tu Kujulikana CAF bali hata kule FIFA kwa Infantino inajulikana na inapendwa mno hivyo wabane wawezavyo na wafanye Fitna zote ila Fabrice Ngoma is RED with Simba Sports Club.

Kudadadeki.

Wewe nae popoma huna ujualo
Kaa kwa kutulia
 
Aisee we jamaa unakurupuka kuanzisha nyuzi usizokuwa na uhakika unachokiandika.
Ulisema simba wamemalizana na fabrice ngoma,sasa unaandika eti yanga washamsajili makabi lilepo ili kujipa moyo yanga nao watashitakiwa duuh 🤣🤣 mpaka hapo inaonyesha jinsi unavyokurupuka.
Taarifa za yanga kumsajili makabi umezitoa wapi??
Baada ya kusoma kwenye nyuzi yangu Al hilal wamewashitaki wachezaji wote waliovunja mikataba na timu yao wewe ukapita nayo 🤣🤣🤣🤣
Watu wanaokusifu humu akili hawana kabisa.
Kwanzia leo tunakuita MZEE wa KUKURUPUKA official
Unateseka nami The East African Genius GENTAMIYCINE ukiwa wapi labda?
 
Back
Top Bottom