mshipa JF-Expert Member Jun 16, 2015 12,248 22,826 Feb 25, 2017 #1 Ndugu wana Jf mimi nimeamua kurudi kijijini kwa moyo mmoja kabisa maana naona mvua zimeanza kunyesha na hapa mjini hamna mashamba ya kulima. Nitarudi tena msimu wa kilimo ukiisha.
Ndugu wana Jf mimi nimeamua kurudi kijijini kwa moyo mmoja kabisa maana naona mvua zimeanza kunyesha na hapa mjini hamna mashamba ya kulima. Nitarudi tena msimu wa kilimo ukiisha.