Morgan Schneiderlin Asaini Everton na amekuwa miongoni mwa wachezaji wanne waliouzwa pesa nyingiMUFC's.
Ronaldo £80m
Di Maria £44.3m
Beckham £25m Schneiderlin £24m.
Kila la kheri Morgan huko uwendako na ninatumai utafanya vyema sana sababu ya ubora wa kiwango chako. .. haujauzwa Man United kwasababu kiwango kimeshuka la hasha ni umekosa nafasi ya kucheza....na ulihitaji kucheza ila Mourinho hakukupatia nafasi ya kutosha kama inavyostahiki na ukizingatia bado umri unakubeba na unahitaji kucheza sana ili kuwa bora ..
Nenda Morgan ila kumbuka umeenda sisi tumebaki na Fellaini ...