Kwa yeyote anaejua Frequency za ku set kisimbuzi cha Canal +

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
74
136
Naombeni msaada kwa mtu yeyote au fundi ambye anajua frequency za kisimbuzi cha Canal +, nmenunua lakin fundi ameniomba niulizie frequency zake.

Na je ushauri, dish lake la Canal + naweza pata maeneo gani plz kwa yeyote anaejua anisaidie.
 
Hii inasoma ethiopia chanella hakuna canal sports 1,2,3,4 etc kuna canal sports HD inaonyesha copa america tu!!
Frequency: 11171 V
SR: 45000
FEC: 3/4

Dish Setup
Satellite: 22W SES-4
Elevation: 25.0°
Azimuth (true): 274.1°
Azimuth (magn.): 275.1°

Zaidi ingia hapa
Code:
https://www.lyngsat.com/packages/Canal---Afrique.html
In
 
Hii inasoma ethiopia chanella hakuna canal sports 1,2,3,4 etc kuna canal sports HD inaonyesha copa america tu!!

In
Mkuu, kuna jamaa aliniuzia hicho king'amuzi, kumbe, alikipata kutoka kwa jamaa yake anaishi huko DRC na amekisajiri huko..sasa nashindwa kulipia hapa mpka nimtumie jamaa atume pesa Drc...usumbufu mno...basi kipo tu home...nime ujanja ujanja nawezaje kulipia nikiwa hapa Dsm?
 
Ushapata msaada..?
 
Back
Top Bottom