Kwa wingu lililopo angani sasa na hii mvua inayokuja Yanga mkipona nitatekeleza hili!!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,044
119,618
Kwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa nakojolea kupitia wapi.

Leo Yanga ndiyo mtajua kuwa Simba SC hatukuenda Zanzibar kupoteza muda na Kafara tulilolifanya na Uchawi tulioutumia leo huko Jangwani mtatafutana na kuna uwezekano hata mkauwana wenyewe kwa wenyewe pale Taifa kwa kipigo Kitakatifu, cha Mbwa mwizi na cha Kishalubela.

Wana Simba SC wenzangu nendeni Uwanjani mkiwa kifua mbele kabisa kwani mechi tumeshaimaliza na jana usiku hadi tunalala zilikuwa goli 3 ila tumeamka asubuhi hii wamepunguza Goli 1 tu na haya Magoli 2 yameshindikana na wamepewa Sharti kuwa wakitaka hayo yote 2 yafutike basi Viongozi wao wa juu mmoja wapo ajitoe Mhanga afe na wote wamechomoa ( wamekataa na kuogopa ).

Kuna Goli 2 Simba SC anashinda ila kuna Kadi Nyekundu 2 pia kwa Simba na kwa Yanga.

Yanga FC poleni sana na leo tutawaokota wengi sana pale Taifa kwa Kuzimia na tunategemea kupata taarifa nyingi tu kutoka sehemu mbalimbali kuwa Mashabiki wa Yanga wamepoteza maisha baada ya kupata Kichapo kutoka kwa Mnyama Mnyamani Simba Sports Club.
 
Pamoja figisu figisu zenu mliomfanyia mwenyekiti wetu kupitia kwa wanachama wenu siro na makonda leo wamatopeni tutawatandika 3 kwa beseni ili mwende mkapoteane kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…