GD itapendezaFunguka ni Honda fit ya mwaka gani? Au tuseme ni: GD, GE, GK, GH, GP, GS, GR?
GD ni 1st gen. 2001 to 2006. Achana nayo. Too old.GD itapendeza
Gari la JF ili. Unaweza ukasema nina Mil 50 nataka gari ninunue Range au BMW, wao watasema chukua Caria Ti.Nasemajeeeee... twende na carina Ti 😂😂
Mkuu unachambua vizuri sana.Honda Fit 4th Generation. 2020 hadi sasa. Model Code: GR
View attachment 2982025
Hii tunasemaga ni refine model tu ya Generation ya tatu. Hamna mabadiriko makubwa, nje ndani na engine.
View attachment 2982026
Engine wanazo option ya 1.3L na 1.5L hafu ni auto tu.
Naomba ucheki BF & TRA ila ni expensive AF, nakumbuka moja tuliona jumla inagusa mil 25+
Ya nn ununue amg 49m kisha unakaa goba kuna kakilima unaibembeleza gari upate length ya kutokwangua bumper, kamata ka carina chako piga shimo uweazavyo resale value iko pale paleGari la JF ili. Unaweza ukasema nina Mil 50 nataka gari ninunue Range au BMW, wao watasema chukua Caria Ti.
Uliza kwanini?
Madereva Taxi wanazipenda.
OVA.
Hahahaa nilikuahidi mzee. Poa ngoja nitafanya ivo. Unakomaa na Hybrid ee.Mkuu unachambua vizuri sana.
Tuletee uzi wa Outlender PHEV
Roho ya paka.Ya nn ununue amg 49m kisha unakaa goba kuna kakilima unaibembeleza gari upate length ya kutokwangua bumper, kamata ka carina chako piga shimo uweazavyo resale value iko pale pale
Una nini jamani 🤣🤣🤣Nkajua zinazungumzwa gari za maana, kumbe viberiti,
Gari utasema kobe, khaaaaah!!!
Mxxxxiiiiieeeew