Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,224
- 7,557
Bongo mtu akisikia michezo kinachokuja akilini ni football
️ tu.
Hata kelele nyingi na uwekezaji uko kwenye football.
Na huko ni full mambo ya usimba na uyanga tu.
Jamani dunia imefunguka.
Michezo ni mingi sana saivi.
Kuna ndondi aka nakozi na Taekwondo mieleka
Sarakasi
michezo ya baiskeli
kurusha tufe kisahani

kubeba vitu vizito
michezo ya majini

Golfu
kupanda miinuko
michezo ya wanyama
Basketball
baseball
handball
️ walemav
🦽
Michezo ya baiskeli
basketball
michezo ya kuteleza 

kukimbia mbio fupi na ndefu
kuruka juu na chini michezo ya mezani
kulenga shabaha
tenisi
vinyoya
kriketi
nk nk
Jamani michezo ipo mingi mingi sana sio football tu.
Tupeleke macho, talanta zetu na uwekezaji kwenye michezo hii mingine maana sio kila mtu anajua kucheza football.
Halafu uzuri jamii zetu nyingi tayari zina hii michezo kwa mfano ndugu zetu wamasai wao kiasili ni walenga shabaha sio ajabu wangeweza kutuletea medali kibao tu kama wangepelekewa hiyo michezo ya kulenga shabaha.