Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 749
- 2,019
Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti
Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi
Tofauti na kampuni nyingine za simu wanaweza kuwa na matoleo tofauti lakini jina la kampuni linakuwa ni moja kwenye matoleo yote
Naomba pia kufahamishwa ubora na uzuri kati ya Redmi na Xiaomi nikitaka kununua nichukue ipi?