MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,075
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani,
~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye matirio ya pamba,yaan hata kama wewe ni mvaaji wa bikini pendelea kuchagua za cotton
~ Fua nguo zako za ndani kwasabuni ya unga ,nahisi sabuni za vipande kama zinafifiisha mng'ao (epuka kuloweka chupi zako kwa zaidi ya siku moja hufifisha mng'ao) jitahidi kutumia STA SOFT kwa kusuuzia !
~Anika chupi zako nje kwa raha zote !achana na maisha ya kuanikia machupi bafuni pishana na mafungus na maUTI
~ piga pasi chupi zako upatapo nafasi
~ Pendelea kuziweka nguo za ndani kwenye droo na utupie na udi mzuri au weka deodorant ifungue inakuwa inakaa humo.
#ng'wanambitiyaza