Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
1.Siku ya kwanza atakuja na chupi mbili, moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi.
2.Siku ya pili anakuja na khanga anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka.
3.Siku ya Tatu, anasahau pete na mkoba juu ya meza anakwambia "hny" nitunzie hereni zangu na mkoba nimesahau kwenye meza.
4.Siku ya nne, anakuja na vipedo vya kubadilisha na viatul pea 2 anavua high heels anaweka kwenye shoe rack asubuhi anaondoka asubuhi anaondoka na flat shoes anakwenda chuo.
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha, ole wako uvihamishe alipoziweka kasi inaanza. Hao ndo wanawake wa kileo akija na begi nzima si utamuuliza vipi mwezangu na utamkimbiza anahamia taratibu mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na perfume na mafuta ya rays inakuwa imejaa hereni na foundation, huna haja ya kuuliza ndo kashahamia huyo.
Kifuatacho utaambiwa "hny I miss my days, zamani nilijua ni simu tu za mikononi zinakuwa na missed calls, siku hizi kuna missed days, ukiambiwa hivyo tu jua imeshakula kwako inawindwa ndoa.