Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,796
- 49,427
tumeamua tu kujitolea watu wana stress sanaUmejifikiria nn mpaka ukaanzisha huu uzi
OK vizuritumeamua tu kujitolea watu wana stress sana
sana valentina Mungu ni mwemaNaona J2 ya leo ni nzuri
teh teh na aje haraka akujibu swali lako.Kwanini demu wangu ananiambia amenimic harafu nikimwambia aje geto anakataaa?
Anakataa kuja gheto kwa sababu huwa unambaka!Kwanini demu wangu ananiambia amenimic harafu nikimwambia aje geto anakataaa?
Hahahaha hamna kituAnakataa kuja gheto kwa sababu huwa unambaka!
inategemea na huko gheto kuna nini? atakuwa kakumiss kimoyo na sio kimwili ...mwenzako ana mapenzi ya hisia wewe upo kingono...anakupenda kweli ila hataki ngono na hapo anajua akija no way lazima utamgegeda sasa anakukwepa kidiplomasia tu kwa kutokuja gheto kwako ...ila ni kweli anaweza kuwa anakupenda.Kwanini demu wangu ananiambia amenimic harafu nikimwambia aje geto anakataaa?
Nyie ni maKE au maME?kama una swali lolote kuhusu
girlfriend
mchumba
mke
mchepuko
mama mkwe
shemeji uliza nipo na mashosti zangu hapa tutakujibu on time
Hapo naona kuna kaukweli fulani sawa nimeata jibu . Ahsante xninategemea na huko gheto kuna nini? atakuwa kakumiss kimoyo na sio kimwili ...mwenzako ana mapenzi ya hisia wewe upo kingono...anakupenda kweli ila hataki ngono na hapo anajua akija no way lazima utamgegeda sasa anakukwepa kidiplomasia tu kwa kutokuja gheto kwako ...ila ni kweli anaweza kuwa anakupenda.
pia anaweza kuwa hakupendi anakupetpet tu na maneno mazuri kukuweka karibu ili labda baadae akupige mzinga...kwaiyo jiandae kurusha salio
Hahahahahaha miss chagga bnaNgoja nikae kitako hapa nijue wanaume yapi yawaumiza mioyo yao .. Hapo mengi yatakuwa ya chini ya kitovu
Hapa nasubiri jibu aiseeeje, ni sahihi kwa kijana kuingia mahusianouvhumba hatimaye ndoa na mdada mwenye mtoto tayari ambaye wameachana na baba wa mtoto wake?