5 5525 JF-Expert Member Apr 6, 2014 5,412 6,279 Jun 4, 2016 #1 Natanguliza heshima kwanza. Kwa wanaofahamu tarehe ya ya kuanza kuomba mikopo mpiya kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2016/17 tunaomba watujulishe. Je sasa maombi yameanza? ili tuanze kufanya maombi wengine tupo mbali kidogo na taarifa zao. shukuran.
Natanguliza heshima kwanza. Kwa wanaofahamu tarehe ya ya kuanza kuomba mikopo mpiya kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2016/17 tunaomba watujulishe. Je sasa maombi yameanza? ili tuanze kufanya maombi wengine tupo mbali kidogo na taarifa zao. shukuran.
Mwanamaji JF-Expert Member Apr 20, 2013 2,904 4,512 Jun 5, 2016 #3 Bado mkuu, application zikianza utajua tu, kuwa unatembelea JF Mara kwa Mara maana humu watu hawana hiyana na taarifa wanatoa tu.
Bado mkuu, application zikianza utajua tu, kuwa unatembelea JF Mara kwa Mara maana humu watu hawana hiyana na taarifa wanatoa tu.