Kwa wanaojua Sheria za Kimataifa, Utaratibu wa kumng'oa Rais wa IPU aliyekengeuka ni Upi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,599
241,426
Siku zote tumeandika humu na kwingineko kwamba, Cheo ni Dhamana ya Muda mfupi sana, hivyo chaweza kukuponyoka wakati wowote kwa sababu zozote zile.

Sasa Ndugu zangu nimejitokeza tena kwenu nikiwa kama Mwanadunia kuuliza Utaratibu wa kumng'oa Rais wa IPU aliyekengeuka na kukiuka Mikataba ya Kimataifa.

Naomba Kuwasilisha.
 
Siku zote tumeandika humu na kwingineko kwamba, Cheo ni Dhamana ya Muda mfupi sana, hivyo chaweza kukuponyoka wakati wowote kwa sababu zozote zile.

Sasa Ndugu zangu nimejitokeza tena kwenu nikiwa Mwanadunia kuuliza Utaratibu wa kumng'oa Rais wa IPU aliyekengeuka na kukiuka Mikataba ya Kimataifa.

Naomba Kuwasilisha.
CHADEMA mna mindset ya kubomoa tu, hamjawahi tengeneza kitu cha kudumu.
 
Ilibidi TISS wajue kuna msala utaibuka huko IPU wajipange mapema, ila wao wapo busy kuchakachua daftari la wapiga kura na kuwamonitor CHADEMA. Matokeo yake kiongozi wetu kapanikishwa kidogo huko kajaaa kwenye 18 za mabeberu. Lazima watamng'oa sababu ya ujinga wetu..asilete zake za bunge la ccm huko duniani.
 
CHADEMA mna mindset ya kubomoa tu, hamjawahi tengeneza kitu cha kudumu.
Iko hivi:
Kama TISS wetu wangekuwa makini walipaswa kujua kuwa hili jambo litatokea ila kwa sababu zao wanazojua wenyewe si ajabu wala hawakujua au hawakufuatilia.

Mh. Tulia kupanikishwa bila sisi kujua in advance ni ujinga wetu wenyewe wala tusiwasingizie CHADEMA. Watu wetu wameenda kwenye huo mkutano kama vile wanaenda kwenye kitchen party wakati wanajua walishalikoroga kwa Tulia kukutana na Putin. Ilibidi tujipange kujibu maswali ya Ukraine mapema maana lazima wangeuliza

Huko hakuna huruma. Naona Tulia anaongea kutaka ahurumiwe😂😂
 
Siku zote tumeandika humu na kwingineko kwamba, Cheo ni Dhamana ya Muda mfupi sana, hivyo chaweza kukuponyoka wakati wowote kwa sababu zozote zile.

Sasa Ndugu zangu nimejitokeza tena kwenu nikiwa Mwanadunia kuuliza Utaratibu wa kumng'oa Rais wa IPU aliyekengeuka na kukiuka Mikataba ya Kimataifa.

Naomba Kuwasilisha.
Kunani tena?🤣🤣🤣🤣🙏
 
Tupia mahojiano yake
 
Tulia amewatuliza mabeberu wenye mihemko, sina wasiwasi naye kwenye mambo ya sheria kwani amebobea kwenye fani hiyo.
 
Iko hivi:
Kama TISS wetu wangekuwa makini walipaswa kujua kuwa hili jambo litatokea ila kwa sababu zao wanazojua wenyewe si ajabu wala hawakujua au hawakufuatilia.

Mh. Tulia kupanikishwa bila sisi kujua in advance ni ujinga wetu wenyewe wala tusiwasingizie CHADEMA. Watu wetu wameenda kwenye huo mkutano kama vile wanaenda kwenye kitchen party wakati wanajua walishalikoroga kwa Tulia kukutana na Putin. Ilibidi tujipange kujibu maswali ya Ukraine mapema maana lazima wangeuliza

Huko hakuna huruma. Naona Tulia anaongea kutaka ahurumiwe😂😂
Nimeiona hiyo clip, mbona Dr Tulia kawapa za uso?
Sema tu alitumia lugha kali isiyo ya kidiplomasia lakini ujumbe umefika.
Sasa CHADEMA wanataka kulibebea bango ligi kama mtoa mada anavyokusudia.
Bora Erythrocyte angejitolea kwenda pigana huko Ukraine, kwani hhajawaona wamarekani wanaouwawa huko kila siku?
 
Back
Top Bottom