Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,217
- 13,448
Habari za usiku huu?
Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara.
Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan.
Nataka kununua Toyota Coaster 1HZ used hapa Tanzania kutokana na kuagiza ni ghali zaidi na itakuwa nje ya bajeti yangu.
Kuagiza Nissan Civilian kutoka Japan ni ndani ya bajeti yangu
Changamoto wengi wanasema Nissan Civilian sio nzuri kwa barabara korofi zisizo na lami body yake inachoka mapema tofauti na Toyota Coaster.
Wengine wanasema spare parts za Nissan Civilian ni ghali (bei juu tofauti na Toyota Coaster)!!
Najua humu ndani wajuzi wa magari na wenye uzoefu ni wengi naomba mnisaidie mm mstaafu.
Asanteni na mlale salama.
Inshallah.