Ndugu wanachuo kuna postgraduate diploma inaitwa PGD. in scientific computing na inapatikana katika kitivo cha CoNAS. Ningependa kujua kama hiyo course inaweza kuni-bridge(kuniunganisha) na masomo ya computer science hasa mm ambaye nimesoma BSc education.