Kwa wamiliki wa companies, Msaada tafadhali

Feb 28, 2014
76
19
Habari za kazi wana Jf,
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutufikisha mwaka huu mpya wa 2017, pia tuzidi kufanya maombi ili tuweze kuishi miaka mingi na kheri Duniani
Mwaka huu nina malengo ya kufungua kampuni ila bado sijajua itahusika na nini haswa! Nina mtaji wa mil kadhaa hivi, ninaomba ushauri kwenu nijikite zaidi katika biashara gani kwa ninyi wazoefu. Nina uzoefu katika biashara zifuatazo ila ni locally...***Ukopeshaji wa pesa kwa watumishi na wafanya biashara, usafirishaji wa mazao from interior to exterior na ufugaji.
Ni hayo tu.....msaada wa mawazo tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…