M mama yu Senior Member Apr 24, 2012 143 42 Jan 29, 2016 #1 Habar wadau.naomba kujua vitabu vya kufundishia na vya "literature" mnavyotumia mashuleni kwenu..maana huu utandawazi wa vitabu unachanganya sana.
Habar wadau.naomba kujua vitabu vya kufundishia na vya "literature" mnavyotumia mashuleni kwenu..maana huu utandawazi wa vitabu unachanganya sana.
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Sep 13, 2014 7,069 6,743 Jan 30, 2016 #2 kuwaa specific mwalimu literature ya o level/advance?? pia gusia aina ya vitabu ama mashairi ungependa kuyapata maana vitabu havichambuagi kila aina ya kitabi cha literature
kuwaa specific mwalimu literature ya o level/advance?? pia gusia aina ya vitabu ama mashairi ungependa kuyapata maana vitabu havichambuagi kila aina ya kitabi cha literature
M mama yu Senior Member Apr 24, 2012 143 42 Jan 31, 2016 Thread starter #3 Ni O level madam Mwajuma.tuanze na vya ki-ada kwanza(vya kufundishia ,mbali na Literature).