Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,199
Sikujua kama series ya power waliamua kutoa Muendelezo wa Power kama series inayojitegemea lakini based on the same story. Jana nikakutana nayo mtandaoni nikaishusha, aisee ni bonge la kitu. Tariq mle ndani kacheza kama mtu mwenye stratergy za kutosha hafanyi move bila plan na yuko ahead of everyone. Nadhani ikiendelea huko mbele atakuwa hatari kuliko hata baba yake, Ghost.
Mimi si mpenzi sana wa movies za series za crime za Mablack America, japo huwa najikuta napenda za wa drug lord wa Mexico lakini Power ilinishika sana
Mimi si mpenzi sana wa movies za series za crime za Mablack America, japo huwa najikuta napenda za wa drug lord wa Mexico lakini Power ilinishika sana