Enzi hizo elimu ilikuwa nzuri. Hadithi za vitabu hivyo zilikuwa nzuri. Walimu walikuwa wazuri ingawa wengi hawakuwa na elimu kubwa, hata hivyo walikuwa na maarifa na kujua jinsi ya kuishi na wanafunzi. Sasa mambo yamebadilika sana. "Old is Gold" wanasema Wakoloni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.