Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 19,215
- 34,908
Mkuu kwa hiyo unataka kutuhaki?Habari wakuu
Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi.
Ipo hivi.
Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access Trojan.
Yaani unatengeneza Trojans ikiwa kwenye mfumo wa APK kisha unaituma kwa mhusika , kama vipi unaweza kuihifadhi hiyo Trojan kwa mfumo wa picha ili isiwe rahisi victim kushtukia.
Inafanyaje kazi?
Cha kwanza lazima umtumie mtu apk au photo yoyote iliyoambatana na hiyo virus , Kisha ikifika kwenye simu yake inaanza kufanya kazi in the background, kwahyo kabla hujaituma lazima utengeneze kitu kinaitwa listening shell .
Mhusika au mlengwa akiinstall tu kwenye simu yake, inakutumia IP address yake, kwahyo wewe huku kwenye Linux yako inaanzisha connection.
Ikiconnect basi hata kama target akiirestart simu yake we unapiga kazi fresh tu.
Kutegemeana na lengo lako, unaweza kupiga hata picha kwa kutumia camera yake iliyo kwenye simu yake, ukaipata picha kwako, unaweza kucheki picha au files zote zilizo kwenye simu yake, unaweza pia kusoma texts zake, au calls nk.
Hii inatumiwa sana na mahackers wengi, ila wao hizo Trojans au virus wameziambatanisha kwenye apps au games mbalimbali unazoinstall kwenye simu yako.
Yaani wewe unapoinstall tu app iliyoathiriwa na virus hizi, wao wanapata taarifa zote zilizo kwenye simu yako kiasi kwamba account zako zinaweza kuhackiwa by a single click.
View attachment 2772655
Hackinng is illegalInstall termux kwanza kupitia hapa Termux | F-Droid - Free and Open Source Android App Repository
Then bonyeza 97mb download apk chini apo kwenye link.
Then run command "termux-setup-storage" bonyeza allow
Kisha run hii command afu uiruhusu
Then then run command "apt update "
Ikimaliza run command "apt upgrade"
Acha hadi ifike 100%
Then install Linux sasa , Kuna commands nyingi za kuinstall Linux ila njia moja na ya haraka ni kwa kutumia hii command moja
" wget -O install-nethunter-termux https://offs.ec/2MceZWr
chmod +x install-nethunter-termux
./install-nethunter-termux"
Run hiyo command hadi iandike neno Kali, hakikisha una bando zaidi ya GB moja, then bonyeeza no.1, full, then iruhusu , ukifika sehemu umeulizwa [Y/N] bonyeza N kumanisha No, Kisha acha iendelee kama dakika 5 hivi,
Itaandika neno kali kama kwenye screenshot hapa , na ndio utakuwa umeipata Kali, ili uanza kuitumia una run command "nh"
View attachment 2772934View attachment 2772935
This is for education purpose onlyHackinng is illegal
Hapana mkuu, me nlikuwa nawapa madini tu, kama mko interested mnaweza fanya hii kama miongoni mwa vitu mnavyopendaMkuu kwa hiyo unataka kutuhaki?
Sasa si mpaka upate nafasi ya kuishika simu ya mlengwa.Hiyo google play protect kabla ya kufanya haya mavitu una disable then unaendelea bila shida yoyote...
Ulitarajia nini?Bandiko lako halihusiani na hackers / hacking process ..