hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,187
- 3,017
Habari wakuu
Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi.
Ipo hivi.
Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access Trojan.
Yaani unatengeneza Trojans ikiwa kwenye mfumo wa APK kisha unaituma kwa mhusika , kama vipi unaweza kuihifadhi hiyo Trojan kwa mfumo wa picha ili isiwe rahisi victim kushtukia.
Mhusika au mlengwa akiinstall tu kwenye simu yake, inakutumia IP address yake, kwahyo wewe huku kwenye Linux yako inaanzisha connection.
Ikiconnect basi hata kama target akiirestart simu yake we unapiga kazi fresh tu.
Kutegemeana na lengo lako, unaweza kupiga hata picha kwa kutumia camera yake iliyo kwenye simu yake, ukaipata picha kwako, unaweza kucheki picha au files zote zilizo kwenye simu yake, unaweza pia kusoma texts zake, au calls nk.
Hii inatumiwa sana na mahackers wengi, ila wao hizo Trojans au virus wameziambatanisha kwenye apps au games mbalimbali unazoinstall kwenye simu yako.
Yaani wewe unapoinstall tu app iliyoathiriwa na virus hizi, wao wanapata taarifa zote zilizo kwenye simu yako kiasi kwamba account zako zinaweza kuhackiwa by a single click.
Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi.
Ipo hivi.
Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access Trojan.
Yaani unatengeneza Trojans ikiwa kwenye mfumo wa APK kisha unaituma kwa mhusika , kama vipi unaweza kuihifadhi hiyo Trojan kwa mfumo wa picha ili isiwe rahisi victim kushtukia.
Inafanyaje kazi?
Cha kwanza lazima umtumie mtu apk au photo yoyote iliyoambatana na hiyo virus , Kisha ikifika kwenye simu yake inaanza kufanya kazi in the background, kwahyo kabla hujaituma lazima utengeneze kitu kinaitwa listening shell .Mhusika au mlengwa akiinstall tu kwenye simu yake, inakutumia IP address yake, kwahyo wewe huku kwenye Linux yako inaanzisha connection.