Kwa wakuu wa shule au kwa mwenye connection nao

Aug 6, 2014
87
14
Wadau Wa Jf habarin za muda huu

mm ni mwanafunzi wa chuo flan hapa dar, nachukua bsc ed with chemistry mwaka wa pili, nilichaguliwa engneering ktk chuo hiki ambapo ada ni kubwa sana na nisingeweza kuilipa kwan cna wa kunishka mkono(ni mm kama mm)
nimechelewa kulpa ada na kureport chuo kutokana na ugumu wa maisha, nlikuwa nafanya vbarua vya kulma huko vjjn bt nlipokuja wakaniambia hawanipokei kwan nmechelewa kulipa ada na kureport, hvyo nitakuja kusoma mwaka ufuatao, naomba sehemu ya kujishikiza nikiwa najipanga kutafuta hela.
kwa ajil ya mwakan october
NIKO TAYAR KWA KAZI YOYOTE HALALI,
 
Ebu jaribu kuwacheki Teachers junction wako magomeni kama sikosei huwa wanaunganisha watu na.shule mbalimbali.Kheri ya mwaka mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…