O othuman sarota Member Oct 16, 2015 24 7 Apr 22, 2017 #1 Kwa wakulima wa morogoro nisaidieni bei ya mbegu za nyanya aina ya eden shanty na assila
A Akshei Member Dec 31, 2016 38 13 Apr 23, 2017 #2 othuman sarota said: Kwa wakulima wa morogoro nisaidieni bei ya mbegu za nyanya aina ya eden shanty na assila Click to expand... Asssila ni kati ya 250000 mpka laki 3 kwa gram 25,hizo zingine sijajua.
othuman sarota said: Kwa wakulima wa morogoro nisaidieni bei ya mbegu za nyanya aina ya eden shanty na assila Click to expand... Asssila ni kati ya 250000 mpka laki 3 kwa gram 25,hizo zingine sijajua.
A Akshei Member Dec 31, 2016 38 13 Apr 23, 2017 #3 Asssila inafanya vzr sana kwa Morogoro hasa kwenye magonjwa ya ukoma na ukungu.
Mussa Xillasa New Member Jun 4, 2019 1 0 Jun 4, 2019 #6 Akshei said: Nenda doma yupo wakala wao. Click to expand...