Kwa wakazi wote wa Mwanza, Vitabu vya Joram Kiango vimekufikia...

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Habari wana jamii forum, Natumain wote mu wazima wa afya.
Kwa wale wote wapenzi wa riwaya za BEN R. MTOBWA, sasa vitabu vya kipelelezi vya JORAM KIANGO vimekufikia. Vitabu vyote vinauzwa kwa bei ya shilingi 10,000. Ili kuvipata vitabu hivyo kwa wakazi wa Mwanza, tafadhali piga simu namba 0763886672.
Aina za vitabu ni sita;
1. ROHO YA PAKA
2. MTAMBO WA MAUTI
3. NAJISIKIA KUUA TENA
4. MIKATABA YA KSHETANI
5. MIKONONI MWA NUNDA
6. TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Kwa wale wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mingine yote, bado tunaendelea na utaratibu uleule wa kutuma kwa bus ama sanduku la posta. Kwa wale wa mikoa mingine tafadhali piga simu namba 0712504985 au 0763044459 ama fika Posta Mpya karibu na sanamu la askari mbele ya duka la pharmacy ya Hd.
Karibuni woteeeeeeeee....
 

Attachments

  • mtambo cover.jpg
    59.6 KB · Views: 94
  • najisikia.jpg
    8.6 KB · Views: 78
  • nunda.jpg
    12.7 KB · Views: 82
  • roho.jpg
    8 KB · Views: 75
  • shetani.jpg
    77.9 KB · Views: 74
  • tutarudi cover.jpg
    70.1 KB · Views: 89
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…