Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa.

ANGALIZO

Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
Kabisa wasije kukusababishia matatizo bure mwanangu
 
Hayo ni mawazo yako Bacca ni beki, beki ni mlizi zunguruka dunia nzima alafu nitajie beki alie timia 100%

niko pale nakusubiri
 
Back
Top Bottom