Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,359
- 6,333
Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero
Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli umeonekana jana mubashara
Imagine mtu anatekwa mchana wa saa 8 watu wako pembeni wanashangaa tu alafu kuna limwanaume la hovyo namwita limwanaume la hovyo likapita pembeni ya gari anasikia sauti ya mtu anaomba msaada hafanyi chochote inakera sana
Tanzania tuna wanaume suruali wengi sana neno mwanaume sio kusimamisha na kumfikisha mwanamke kileleni hiyo ni tafsiri ndogo ya mwanaume., mwanaume ni neno pana sana ni mtu ambaye jasiri, mlinzi, asiyekubali kushindwa kirahisi, sio mwoga wa majukumu, sio mwoga wa matatizo hio ndo baadhi ya tafsiri ya mwanaume
Mfano kuna kipindi nilipanda daladala nikakaa siti ya nyuma yule dereva alikua anafukia mabamsi mara kwanza katurusha nikagonga pale juu nikajua kapitiwa mara ya pili tena, mara tatu ya tatu nilijikuta niko mbele ya gari nimezuiwa na watu sababu nilikua namfuata palepale kwenye siti yake
Cha ajabu ni abiria wachache walikua wananizui nisiende kwa dereva ila wengine wanashangaa japokua karibia wote siti ya nyuma tulikua wahanga wa vichwa vyetu kubamizwa tena zaidi ya mara mbili
Watanzania wengi ni mazombi ni wazuri kwenye kuongea na wengine wengi ni keyboard warrior lakini sio watapambanaji kabisa
Mfano wenyeviti wa serikali za mitaa wa upinzani wamekatwa kihuni watu hawajali kabisa nchi yetu tunawachia wahuni wachache wanaiharibu
Tutaendelea kumlaumu mbowe ila hatuna wapambanaji kila mtu anaamini kuna mtu atampambania.
Pia soma