Kwa teuzi hizi masiah bado yuaja, aliyeko anaandaa njia.

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
 
Kijibwa cha kiroho kitakuua...acha wivu na husda we kijana...
 
Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Kwikwi kwikwikwi. Miaka hii kumi utaumia sana. Utasubiri masihi wako na utakaa hautamuona alishaenda kuchunga ng`ombe.
 
Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Panapo majaaliwa.
Hata Afrika ya Kusini waliteseka sana hadi walipompata masihi aliyewakomboa.
Nasi yu-aja.
 
Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
kuna tetesi kwamba wasaliti wote kuula .
 
Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Masiha, nabii, mussa etc alishindwa uchaguzi.
Huyu ni yule mwingine.
 
Nikitafakari nakuona yanayoendelea ndani ya nchi yangu nakosa neno sahihi la kuelezea! Ila iko siku tutampata mokozi wa kweli! Vijana tuwe na Imani! Wanaoamini mokozi kapatikana tujitahidi kuwaamsha!
 
Unaishi kwa maisha ya kinabii sio? Ishi maisha halisia acha kuishi maisha ya ndoto.
 
Nashawishika kusema kwa sababu nisiposema nitaumia sana. "Masiah bado yuaja, huyu aliyepo amekuja kutengezea njia tu safari ya ukombozi bado. Na mwenye kuelewa na aelewe.
Nami naona kwa mbali teuzi hizi zinambeba sana dogo mmoja ... haya tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…