Kwa style hii wana Gaza wataendelea kuteseka sana. Wasidhani Muyahudi atatuliza boli. Angalia wanavyo parade miili ya mateka waliokufa na muziki juu

Maisha yatakuwa magumu Sana hapo Gaza sioni kama wapalestina watarudi tena Gaza nahisi mwisho wao wa kuishi hapo umewadia.
 
Ahsante kwa taarifa msemaji mkuu wa Jeshi la wanamgambo wa Mbozi
Ndugu unaangalia ITV tu nini? ebu uwe unaangalia na channel za kimataifa , Netanyau na Trump wameshatangaza zaidi ya mara tatu ndani ya wiki moja, na meli ya mabomu mazito imeshaondoka philadefia kuelekea Israel , Imetangzwa na Aljazera tarehe 18 February, India wametangaza kupitia channel yao Cap , DW wametangaza, Tehran wameshajibu kuwa wanajipanga na wameshapeleka missile zao kwenye chambers zake hapo kuna siri tena wakati wanatangaza wenyewe?
 
Back
Top Bottom