Kwa Simba hii, tutegemee kumaliza nafasi ya 4 sio ya 3

Wachezaji wametoka kwenye mchezo mgumu jumamosi,wana uchovu wa safari,hawaja draw wamepata alama tatu ila mtu analaumu na anaungwa mkono, jiulize hapa ni wapi? jibu unalo najua usiumize kichwa.
 
YA 4??

ACHA UTANI WEWE

SIMBA INASHUKA DARAJA MSIMU HUU
Hapana; hawawezi kushuka daraja. Mtoa mada yuko sahihi; nafasi yao ni ya nne au ya tano hivi. Msimu uliopita waliponea chupuchupu kutokana na mgogoro wa timu za Singida. Safari hii timu zote za Singida zina nafasi ya kupata nafasi mbili kati ya nne za kwanza; sasa iwapo Azam itajitutumua kidogo basi simba atakuwa anashindana dhidi Azam kuwania nafasi moja iliyobaki, jambo ambalo linaweza kuiweka simba nafasi ya tano. Na iwapo Coastal nayo itakaza msuli unaweza kuikuta Simba nafasi ya sita. Watu wa physics watakuambia kuwa "Simba falls exponentially with time."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom