Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,915
- 17,001
Ni maisha ya mashaka mashaka sana kwa kweli. Viongozi wa mashujaa wetu kwa sasa wana hali mbaya sana. Moja haikai mbili haisimami. Wanaishi kwa kujificha ficha sana. Kama panya. Wanaishi mashimoni na kwenye mapango.
Khayatollah amefichwa sana na anahamishwa hamishwa kila baada ya muda flani. Hali ni ya wasiwasi sana. Haya maisha mpaka lini wadau. Mpaka lini? Kwa nini iwe kama panya wakati wote hata akitoka nje hakai mbali na shimo.
Ritz ulituambia Netanyau alijeruhiwa vibaya.... Tukafurahi naona sasa yeye anaua tu. Ukaja na uzi Mkuu wa Majeshi wa Israel ameuawa kwenye Shambulio.... Israel wale MAYAHUDI (YAANI MAKUBWA) hawakujibu maneno wao wakaonesha anaishi kwa kumuua Kiongozi Mkuu wa Hamas.
Maisha gani haya jamani?